iqna

IQNA

kuhifadhi qurani
Shughuli za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Matar Tares ni jina la kijiji ambapo familia zote zina kumbukumbu moja ya Quran nzima.
Habari ID: 3477053    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/27

Harakati za Qur'ani Afrika
TEHRAN (IQNA)- Jumla ya watu 190 ambao wamejifunza Qur'an Tukufu kikamilifu kwa moyo walitunukiwa zawadi na kuenziwa katika sherehe hiyo iliyofanyika katika Uwanja wa Jenerali Lansana Conté.
Habari ID: 3476414    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/16

Wapalestina wa Gaza
TEHRAN (IQNA) – Katika sherehe huko Gaza, wafungwa 77 wa Kipalestina ambao wameweza kuhifadhi Qur’ani Tukufu wameenziwa.
Habari ID: 3476180    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/01

Kujifunza Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Sheikh Mohamed Ata al-Basyuni ni mwalimu wa Qur'ani mwenye umri wa miaka 85 katika mji mmoja mkoani Gharbia nchini Misri.
Habari ID: 3475839    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/25

Kuhifadhi Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Mtoto wa miaka mitano wa Ufilipino ameweza kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamiliofu katika kumbukumbu yake.
Habari ID: 3475766    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/11

Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- TEHRAN (IQNA) - Kozi za kuhifadhi Qur'ani katika vituo vya Qur'ani vya Jordan zimekaribishwa kwa furaha na wanafunzi wa shule Wizara ya Wakfu ilisema.
Habari ID: 3475700    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/29

Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Abdullah Mustafa, qarii wa Qur'ani Tukufu Misri mwenye ulemavu wa macho amehofadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu kwa kusikiliza kupitia redio na simu yake ya mkononi.
Habari ID: 3475667    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/23

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Hatua ya awali ya Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Sultan Qaboos imeanza nchini Oman siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3475656    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/21

Kuhifadhi Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Ilimchukua msichana wa Kipalestina mwezi mmoja tu kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu katika hatua amabyo imetajwa kuwa ni ya aina yake.
Habari ID: 3475635    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/17

Kuhifadhi Qur’ani
TEHRAN (IQNA)- Msichana aliyehifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu huko New Jersey Marekani ameenziwa kutokana na mafanikio yake.
Habari ID: 3475569    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/02

Kuhifadhi Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya wanafunzi 8,000 wa Uturuki wamehitimu katika somo la kuhifadhi Qur'ani Tukufu katika kozi ambayo imedumu mwaka moja
Habari ID: 3475440    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/29

Kuhifadhi Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Wanafunzi 393 waliohifadhi Qur’ani Tukufu wamehitimu katika mahafali iliyofanyika katika msikiti mmoja huko Istanbul, Uturuki.
Habari ID: 3475330    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/03

Watoto na Qur'ani
TEHRAN (IQNA)-Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimejibu ukosoaji kuhusu darsa zake za kuhifadhi Qur'ani kwa watoto. Katika taarifa yake Jumapili, Kituo cha Al-Azhar cha Fatwa za Kielektroniki kilisema kuwa kulea watoto na kuwalea kwa ufahamu sahihi wa Quran ni nguzo ya utulivu wa jamii.
Habari ID: 3475316    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/30

TEHRAN (IQNA)- Wafungwa 115 mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu wamepunguziwa adhabu zao kwa miezi sita hadi miaka 20 baada ya kuhifadhi Qur'ani.
Habari ID: 3474734    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/28

TEHRAN (IQNA)- Waalimu 114 wa ngazi za juu wanaofunza kuhifadhi Qur'ani nchini Iran wataenziwa katika mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3474667    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/12

TEHRAN (IQNA)- Mvulana mwenye umri wa miaka tisa nchini Oman ambaye anaugua ugonjwa wa tawahudi au autisim ameweza kuhifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3474467    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/24

TEHRAN (IQNA)- Sherehe imefanyika katika kijiji kimoja kaskazini mwa Misri kuwaenzi wanafunzi waliohifadhi Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3474285    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/12

TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Qur’ani Tukufu nchini Misri Sheikh Abdul Fattah Taruti ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kimataifa la Kuhifadhi Qur’ani.
Habari ID: 3473208    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/27

TEHRAN (IQNA) - Vyuo vikuu vya umma nchini Indonesia vimetangaza kuwa vijana waliohifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu wanaweza kuingia katika vyuo vikuu pasina kufanya mtihani wa kawaida unaohitajika kuingia chuo kikuu.
Habari ID: 3472032    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/04

TEHRAN (IQNA)- Msichana mwenye umri wa miaka 19 na ambaye anaugua ugonjwa wa kupooza kwa ubongo (cerebral palsy) amefanikiwa kuhifadhi sura 42 za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471927    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/24